Office Address

P.O. Box 15808, Mbezi, Dar es Salaam, Tanzania

Phone Number

+255 714 629 700

Email Address

info@wahigroup.co.tz

Nafasi za Miradi ya Muda Mfupi / Mafunzo (Internship)

15 Sep 2026 1 Kwa makubaliano Dar es Salaam, Tanzania

NAFASI ZA MIRADI YA MUDA MFUPI / MAFUNZO KWA VITENDO (INTERNSHIP)

WAHI GROUP inatafuta waombaji kwa ajili ya nafasi za muda mfupi za miradi na mafunzo kwa vitendo (internship) zifuatazo:

  1. Mhandisi wa Ujenzi (Civil Engineer) – 1
    Awe amehitimu Ngazi ya Shahada / Diploma / FTC
  2. Fundi Sanifu wa Ujenzi (Civil Engineering Technician) – 1
    Awe na NTA Level 6 au sifa inayolingana na hiyo
  3. Mpima Ardhi (Land Surveyor) – 1
    Awe amehitimu Ngazi ya Shahada

JINSI YA KUTUMA MAOMBI

Muda wa Maombi: 26–30 Septemba 2026

Tuma maombi kupitia: info@wahigroup.co.tz

Tafadhali wasilisha CV yako na vyeti vyako vya taaluma. Ni wale tu watakaopita kwenye mchujo ndio watakaowasiliana na kuitwa.